WARUMI9
Your browser does not support the audio element. Kuteuliwa Kwa Israeli Na Mungu 1 Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu. 2 Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu. 3 Kwa maana ningetamani hata mimi nilaaniwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu hasa, wale walio […]